Karibuni kanisani BCIC Majimeupe, kanisa linalopatikana Mbagala Majimatitu, somo likiwa ni 'NGUVU YA PASAKA' likihubiriwa na Askofu Michael Peter Imani. BIBLICAL COUNCELING AND INTERCESSION CENTER (BCIC) MAJIMEUPE) Ni kanisa linalopatikana Dar es Salaam, Tanzania mahali panapojulikana kama Mbagala Majimatitu kwenye barabara inayoelekea Chamanzi na Mbande. Kanisa la Kiroho likiongozwa na Askofu Michael Peter Imani likiwa na lengo ama dhumuni la kuleta watu kwa Kristo Yesu na kueneza neno la Yesu Kristo kwa mataifa yote kwa kuwa Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu Luka 1:37 Wasiliana nao kwa simu namba; 0623 600 681 0658 379 076 0713 158 967
Nguvu ya Pasaka - Ask. Michael Peter Imani (BCIC Majimeupe)
Share This
Karibuni kanisani BCIC Majimeupe, kanisa linalopatikana Mbagala Majimatitu, somo likiwa ni 'NGUVU YA PASAKA' likihubiriwa na Askofu Michael Peter Imani. BIBLICAL COUNCELING AND INTERCESSION CENTER (BCIC) MAJIMEUPE) Ni kanisa linalopatikana Dar es Salaam, Tanzania mahali panapojulikana kama Mbagala Majimatitu kwenye barabara inayoelekea Chamanzi na Mbande. Kanisa la Kiroho likiongozwa na Askofu Michael Peter Imani likiwa na lengo ama dhumuni la kuleta watu kwa Kristo Yesu na kueneza neno la Yesu Kristo kwa mataifa yote kwa kuwa Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu Luka 1:37 Wasiliana nao kwa simu namba; 0623 600 681 0658 379 076 0713 158 967
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment